Monday, August 22, 2011

petmir
                    TAARIFA YA KIFO!
                 
Nasikitika kutangaza kifo cha Mjomba wangu Yahya Chondo kilichotokea jana mkoani TANGA. Habari za msiba uwafikie ndugu woote, jamaa na marafiki popote walipo. Inna lillah waina illaih rajiun! May He Rest in Peace! We Loved u but Allah loved u more!

No comments:

Post a Comment

,

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...